kanisa Anglikana Mtaa wa Mt. Mikaeli na Malaika wote Mtwara, limeanza mwaka 1958 chini ya utawala wa Kiingereza. Toka kipindi hiki kanisa hili limeongozwa na mapadre wengi ambao wamekuwa wakitoa huduma katika mtaa huu ambao hapo mwanzo ulikuwa chini ya Dayosisi ya Masasi ila baada ya kuigawanya Dayosisi hiyo na kupata Dayosisi mpya ya Newala Mtaa huu pia ulihamishiwa katika Dayosisi hiyo.
Monday, 26 March 2018
TAARIFA : BLOG BADO IPO KWENYE MATENGENEZO
Habari wapendwa. Blog hii ya Kanisa Anglikana Tanzania Mtaa wa Mtwara ( MT. Mikaeli na Malaika Wote Mtwara inaandaliwa ili kutumika kutupatia habari mbalimbali za Kanisa husuasani za Kanisa Angalikana Mtwara ila pia kama kutakuwa na habari ambazo ni muhimukutoka makanisa mengine pia zitapatikana. kwa sasa mafundi wanaendelea na matengenezo na muda si mrefu kwa neema ya Mungu itakuwa tayari . Mungu awabariki na muendelee kuiombea.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment